Current Date: December 23rd, 2024

Kizz Daniel – Oshe Ft. The Cavemen.

Kizz Daniel – Oshe Ft. The Cavemen.

Halaaa!!

Ooooeh

Holoooh

Dua hilo katisha eti mvua isinyeshe ,hiki kihali kipite mbali tuliacha mapepe

Anapopea mtima hapa nangoja nideke kwambali zumari kombe la chai yani walete walete

Eti anacheza mkomboti wa chawidu na uno analikata yani mudogo mudogo

Macho legeza malaini kama mwidu najichezea karata nywele kozi la kikongo

Oooh baby sa napagawa changanywa naumia ndonga!

Oooh anavyonichanganyia uhondo naumia ndonga!

Oooh mimi hata sina la kufanya naumia ndonga!

Oooh anavyonichanganyia uhondo naumia ndonga!

Ooh mimi hata sina la kufanya naumia ndonga!

Anavyonichanganyia uhondo naumia ndonga !

Oh bad bad bad

Hii miziki sabufa, fujo zote humu ndani nawapigia kelele nisamehe majirani,

Mto umezibwa ukuta,ndani la rubudani nae ndo bosi nalewa yupo na mie chawa,

Ooh baby nifanye nimchanganye changanye dulla

Au niwe kivurande nikupe za don masha chulaa

Ooh baby nifanye nimchanganye changanye dullaaa!

Nalo penzi litutande wakati tunataka kula

Ooh baby sa napagawa changa

Nachanganyikiwa oooh anavyonizidishia uhondo

Oooh baby hatasina lakufanyaa oooh anavyonichanganyia uhondooo

Oooh bad bad bad!!!!!!!

Hapakwetu

Hapakwetu is an experienced Digital and Broadcast Journalist with a demonstrated history of working in the broadcast and online media industry for over 5 years. Skilled in News and Entertainment Writing, Communication and Editing. He is always telling stories tailored to inform and educate the masses.